Numbers 34:11

11 aMpaka utaelekea kusini kuanzia Shefamu hadi Ribla upande wa mashariki wa Aini, na kuendelea kwenye miteremko mashariki mwa Bahari ya Kinerethi.
Yaani Bahari ya Galilaya.
Copyright information for SwhNEN